Content on this page requires a newer version of Adobe Flash Player.
Sasa unaweza kutembelea www.maindasmallbaby.blogspot.com ili kujua ni Mainda Small Baby anafanya katika blog yake ambayo imetegenezwa na Rulea Sanga ambaye anapatikana Sinza AfrikaSana kwa simu 0715 851 523 au tembelea www.rumatz.com au tuma ujumbe kwa rumatz2011@yahoo.com
---------------------------------
Glorious Celebration LI
VE Band ikishirikiana na RUMA inakualika katika kusifu na kumuabudu Mungu mashuleni, vyuoni, mahotelini, katika kumbi mbalimabali, matamasha mbalimbali ma tunapiga kila Ijumaa katika Hoteli ya The Atriums Sinza Afrikasana kuanzia saa 12jioni..Soma zaidi
-------------------------------
Freyz Fashion
Tupo Stand ndogo Arusha mkabala na Hoteli ya Miawi
-------------------------------
ShoutMix chat widget
Content on this page requires a newer version of Adobe Flash Player.
BILION (214.6), KUKAMILISHA UJENZI WA DARAJA KIGAMBONI
Na Emmanuel Kimweri
Serikali kupitia Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), leo imetia saini na Kampuni ya Kichina, China Railway Jiangchang...Soma Zaidi
Posted: 10 January 2012
-----------------------------------------------------
KENETH JORAM KIJANA ANYEFUATA NYAYO ZA USAIN BOLT
Na Emmanuel Kimweri
Kila mtu anamipangiliyo yake mathubuti aliyo jiwekea ili kufanikisha ndoto zake za maisha ikiwemo kuwa na maisha ya tofauti na hapo awali. Soma Zaidi
Posted 30 Dec 2011
--------------------------------------------
Content on this page requires a newer version of Adobe Flash Player.
TANGAZO KUTOKA INTELLESCOP MAAGAZINE
Kama wewe ni mwanachuo unakipaji na unataka jamii ifahamu juu ya kipaji ulichonacho wasiliana nasi kwa No. 0653050112 au kimweri.em@gmail.com
Posted 30 Dec 2011 -------------------------------------------------------
Content on this page requires a newer version of Adobe Flash Player.
JWTZ YATOA MASAADA WA VYAKULA WENYE THAMANI YA SH. MIL 24.5 KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO DAR
Na Emmanuel M. Kimweri
Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) leo limetoa masaada wa vyakula wenye thamani ya zaidi shilingi million ishirini na tano (million 25) kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salam, Mh. Said Meck Sadiq
...Soma Zaidi
Posted: 29 Dec 2011
-----------------------------------------------------
Content on this page requires a newer version of Adobe Flash Player.
WATANZANIA MNAOMBWA KUJITOKEZA KATIKA MKESHA MKUBWA WA KULIOMBE TAIFA
Desemba 31, 2011
Na Emmanuel Kimweri
Umoja wa Makanisa ya Kikristo Tanzania (Tanzania ChristianFellowship of Churches) umeandaa mkesha mkubwa kwa ajili ya dua maalum kwa taifa kwa lengo la kumshukuru Mungu kwa kulivusha Taifa katika kipindi cha miaka 50 ya uhuru,sambamba na kupongeza msimamo wa serikali wa kupinga maswala ya ushoga. Soma Zaidi
Posted: 29 Dec 2011 ------------------------------------------------------
THE DEAR DEAD LEADER: BODY OF
KIM JONG IL PLACED IN GLASS COFFIN AS DICTATOR'S SON ARRIVES TO CLAIM HIS INHERITANCE
Son and successor leads respects in Kumsusan Memorial Palace, Pyongyang
North Korea in national period of mourning before state funeral on December 28
Military pledges support for Kim Jong Un, declaring him 'born of heaven'
But concerns are raised over transition of power to relatively unknown third son
U.S. calls for peaceful transition of power in reclusive nation
--------------------------------------------------
MAKUMIRA: ULOMI DAMU YAKO NI UKOMBOZI KWETU.......NURU YA DAIMA NA IKUANGAZE.
Na Emmanuel Kimweri.
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Tumaini – Makumira, wanaungana na familia ya Mzee Ulomi, wa Kibororoni, Arusha katika kipindi chote cha majozi ..Soma Zaidi ------------------------------------------------------
VIGOGO WA SIASA RWANDA WAHUKUMIWA VIFUNGO VYA MAISHA JELA
Na Emmanuel Kimweri
(FH) – Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (ICTR) Jumatano imewahukumu vifungo vya maisha jela wanasiasa wawili waandamizi wa Rwanda, Mathieu Ngirampaste na Edouard Karemera baada ya kuwatia hatiani kwa kuhusika kwao katika mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 nchini humo. Soma Zaidi
----------------------------------------------------
WAZIRI AONDOKA CHINI YA ULINZI WA FFU, ALAZIMIKA KUKATISHA HUTUBA, WANAFUNZI WANZONGA MUHIMBILI.....
Na Emmanel Kimweri
Hivi karibuni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Profesa Makame Mbarawa ameshindwa kuendelea na hutuba yake ya Ufunguzi wa Maonyesho ..Soma Zaidi ----------------------------------------------------
-
NEW OFFERING ENABLES CONSUMERS IN TANZANIA TO RECEIVE MONEY FROM ABROAD IN THEIR M-PESA ACCOUNTS FOR THE FIRST TIME
ENGLEWOOD, Colo., and Dar es Salaam; Dec. 8, 2011 – Now, thanks to a new service from Western Union (NYSE:WU) and Vodacom Tanzania, consumers in Tanzania can get even more from their ...Read More
-----------------------------------------------------
COCA COLA WAAKATI WA UZINDUZI MAID JUICE YA MATUNDA ASILIA. Dimeji Olaniyan, meneya mkuu wa Tanzania Coca Cola akijaribu kutoa maelezo juu ya kinywaji kipya cha juice ya matunda halisi. Soma Zaidi
-----------------------------------------------------
JK: UPO UMUHIMU WA MALIASILI KUJITANGAZA
Na Emmanuel Kimweri
Hivi karibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete ameitaka Wizara ya Maliasili na Utalii iyone umuhimu wa kuutangaza utalii wa ndani katika...Soma Zaidi--------------------------------------------------------
-MAFURIKO DAR YA LETA MAAFA, WATU WAKOSA MAKAZI, IDADI YA VIFO YAONGEZEKA, MADARAJA KUFURIKA MAJI......
Watu wapatao nane wameripotiwa kuwa wamepoteza maisha katika maeneo tofauti tofauti vifo vilivyotokana na mafuriko yaliyotakana na mvua kali zinazoendelea kunyeha katika jiji la Dar es Salaam. Soma zaidi
---------------------------------------------
TAHLISO: WANASIASA TUACHENI TUSOME......
.
Jumuiya ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu nchini (TAHLISO) hivi karibuni imewata wanasiasa wa vyama mbalimbali kuwaacha wasome kwa maslahi na manufaa kwa taifa badala ya kuwajaza mambo ambayo hayana manufaa kwao. Soma zaidi
---------------------------------------------
MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU TANZANIA.
Katika kusherehekea Miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika, Idara ya Kiswahili ya Chuo Kikuu cha St. John cha Tanzania itaratibu
SHINDANO LA UANDISHI WA RIWAYA kama ishara ya kuadhimisha tukio hilo muhimu..Soma Zaidi
Rais Kikwete akihutubia mamia ya wanazuoni na wananchi wenye maadhimisho ya Miaka 50 ya ChuoKkikuu cha Dar es Salaam. Sherehe hizo zilihudhuriwa na wageni mbalimbali..Soma Zaidi
-------------------------------------------- Old News
Designer: Rulea Sanga, Call +255 715 851523, Email: rumatz2011@yahoo.com, website:www.rumatz.com, www.rumaafrica.blogspot.com, Office: Afrikasana-Sinza, Dar es Salaam, Tanzania
Zac Entertainment Services is the official publisher of the INTELLSCOPE ONLINE MAGAZINE, ‘’INTELLSCOPE’’means Intellectual Vision. It is private own entity that was founded by Mrs. Doris Mboye Lukindo, it is registered by the registrar of company number 219644 on April 2011 under company ordinance cap 212 of the united republic of Tanzania.
The owner is the Tanzanian citizen and its desire, ambition and vision is to see current news, culture, college life style, events and entertainment industry within higher learning institutions in Tanzania growing to the desirable standards. Read more...
Content on this page requires a newer version of Adobe Flash Player.